Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Chama kimepoteza mwanachama wa nguvu, sad! [emoji1][emoji1]
 
Cole ninasubiria kadi pia, ikikupendeza.
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]. You are my young brother japo hatujawahi kuonana. Nitakuwa UDSM starting September this year na kama utakuwa usharudi kutoka chimboni kwako basi tutajitahidi tuonane bro. Tuombe uzima tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Hahahhaha bro,,nakuona mzee safi sana,,komaa bhna uweke heshima ya ukoo ( Bro Shimba's voice)

Yeah bro nashukuru aisee, kama zali vile Haya mambo ni kama kumuuliza gaucho unawezaje kufanya maajabu uwanjani anakwambia inatokea Tu

Sometimes tuna hatuna sababu specific ya kuelezea ila tunashukuru tumepata
 
Chama kimepoteza mwanachama wa nguvu, sad! [emoji1][emoji1]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah mwenyekiti my apology inabidi nikuletee kadi yangu ya uanachama, Endelea kukipigania chama wako former CHACHAWA member

Cole Williams
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…