Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji16]
20190122_213512.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha!!!
Uzi ninao njoo na sindano.
kitambaa cha sweta ataleta Yegomasika
Ujuzi upo teleee.

Tutavaa wenyewe, kazi ya mikono yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app

AASANTE Prof msomi wa ajabu....

Sindano nzuri ndefu nitaleta. Nawe tayarisha uzi imara mnene usiokatika katika hovyo...

Sasa kaYego tutakalipa nini kwa kazi nzuri katakayoifanya ya kuhakikisha kuwa uzi haukatiki na kwamba tunashona kwa muda mrefu bila kuchoka wala kupumzika? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Weweeee...

Ni sindano moja tu inayohitajika na tayari ipo. Umeambiwa ulete kitambaa. Mbona tena maneno mingi? [emoji16][emoji16][emoji16]

Wewe una purchasing power kubwa kuliko mimi, una uwezo wa kununua kitambaa. Niachie mimi cha bei rahisi, sindano. I will take care of that! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Back
Top Bottom