Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nyota huyo mabye ameweka rekodi ya usajili mnono, anahofiwa kufariki dunia baada ya ndege aliyopanda kutoweka kwenye rada muda mfupi baada ya kuruka kutoka Uwanja wa Ndege wa Atlantique.
 
Sala, 28, ambaye amekuwa Nantes tangu mwaka 2016 na ambaye alifunga mabao 13 katika mashindano tofauti msimu huu, alisaini mkataba wa miaka mitatuy na nusu katika klabu ya Cardiff ambayo inakabiliwa na tishio la kushuka daraja, lakini usajili wake unasubiri kibali cha kimataifa.
 
Nipo kwenye ndege lakini inaoneka kupoteza mwelekeo, nimepatwa na hofu” Huo ndio ujumbe wa sauti kwa kutumia Whatsapp uliotumwa na Emiliano Sala kwa marafiki zake muda mfupi kabla ya ndege ndogo aliyokuwa amepanda kutoweka kwenye rada za Kisiwa cha Uingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…