Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Fowadi huyo wa zamani wa Stoke City ameipa Liverpool wigo mpana wa uteuzi wake wa wachezaji kwenye safu ya ushambuliaji kwani anapoanzia benchi, akiingia basi timu hiyo inakuwa na nguvu mpya kama ilivyotokea kwenye mechi dhidi ya Manchester United, ambapo alitokea benchi na kufunga mabao mawili