[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], nilimiss kukuchokoza(mo)[emoji23]We nae, mimi nimesema naleta sindano. Uzi ataleta syb! Nina utaalamu wa kuzitengeneza hizo sindano za kufumia! [emoji1][emoji1]
Unataka kukaanzishia darasa upya? Ilikuwaje mwanzoni kakashindwa kuhitimu? Jiangalie Prof. Vianafunzi vingine siyo vya kuchezea.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], nilimiss kukuchokoza(mo)[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
We nae, mimi nimesema naleta sindano. Uzi ataleta syb! Nina utaalamu wa kuzitengeneza hizo sindano za kufumia! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23]
Bila shaka tutaimudu mirindimo ya sindano na uzi, Yego akishatuletea uzi hatakuwa na kazi ya ziada...Cha muhimu sana labda apewe ofa ya sweta moja kutoka kwa washonaji mahiri Pyaar & SHIMBA YA BUYENZE.
Sent using Jamii Forums mobile app
RIP Sala. Sad !!!Nipo kwenye ndege lakini inaoneka kupoteza mwelekeo, nimepatwa na hofu” Huo ndio ujumbe wa sauti kwa kutumia Whatsapp uliotumwa na Emiliano Sala kwa marafiki zake muda mfupi kabla ya ndege ndogo aliyokuwa amepanda kutoweka kwenye rada za Kisiwa cha Uingereza.