Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amerejea nyumbani baada ya ziara yake nchini Urusi, kufuatia vurugu za maandamano zilizosababishwa na kupanda kwa bei ya mafuta.
Serikali ya Zimbabwe imekuwa ikiulaumu upinzani kutumia hali ya kupanda kwa bei ya mafuta nchini humo, kuchochea ghasia.
Aidha upinzani umesema wanachama wake wamekuwa wakichukuliwa hatua kali kama hatua ya kujibu vurugu za maandamano yanayofanywa kupinga ongezeko la mafuta.
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Movement for Democratic ChangeNelson Chamisa amesema wengi wa wanachama wao wamekamatwa wakiwemo wabunge watano, huku afisa wake mwingine mwandamizi amejificha.
 
Makundi ya haki za binadamu yanasema kuwa watu 12 wameuawa katika ghasia hizo. Hata hivyo idadi hiyo bado haijathibitisha.
Jumuia ya Wafanyakazi iliyoitisha maandamano hayo imesema kiongozi wake Japhet Moyo amekamatwa pia.
Hapo jana Mahakama kuu mjini Harare ilitoa uamuzi kuwa waziri wa serikali hana haki ya kuagiza kufungwa kwa mawasiliano ya internet.
 
Upinzani umepinga uamuzi wa mahakama mnamo Agosti 2018 uliothibitisha ushindi wa rais Mnangagwa dhidi ya Chamisa.
Upinzani umesema nini?
Chamisa ameiambia BBC kwamba 'hakuna sababu yoyote ile ya wanajeshi kutumia silaha za moto barabarani, kuwapiga raia".
watu wanafuatwa nyumbani kwao, wanatolewa nje na familia zao hata kama wamelala... watu wengi wamekamatwa bila ya sababu ya maana," amesema.
Mwenyekiti wa kitaifa wa MDC Thabitha Khumalo amesema kwamba amejificha baada ya polisi na jeshi kuzuka nyumbani kwake usiku.
 
Unataka kukaanzishia darasa upya? Ilikuwaje mwanzoni kakashindwa kuhitimu? Jiangalie Prof. Vianafunzi vingine siyo vya kuchezea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kayego kana jipya basi, uoga tu umekatawala.
Yaani kati ya videnti vilaza na kenyewe kamo...Matuta ya kutosha[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…