Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nyota wa zamani wa Manchester United na Real Madrid David Beckham anatarajiwa kununua asilimia 10 ya hisa za umiliki wa klabu ya Salford inayoshiriki ligi ya taifa (National League) ambayo ni ligi daraja la 5 kwenye muundo wa ligi nchini England.
 
455705781_72666.jpeg
 
We nawe. Kwani lazima useme hivyo? Kwani ukisema ni Mwakaleli moja utapungukiwa na nini? Anko wako akija hapa itabidi nilogofu kwa muda. Jizazi !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anko nae apumzike aah kila siku kumsingizia yeye tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom