Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anko nae apumzike aah kila siku kumsingizia yeye tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG-20180621-WA0028~2.jpeg
 
Ooooh!

Kati ya siri mojawapo kubwa kabisa hapa duniani ni hii ya kifo. Kwa nini tufe? Whai whai? Ilikuwa lazima tufe? Hakukuwa na mbadala jamani?

RIP...Mmojawapo wa wanamuziki bora kabisa wa Afrika
Jana nimesoma zaburi mpaka 100 kuna sehemu nimeona wanadamu wakilalamikiwa walipewa mana,njiwa etc ila hawakuridhika wala kuamini kuna Mwenyezi Mungu wao wakaanza umba miungu yao suluhisho ikawa ni kuwapunguzia miaka ya kuishi na kufa kama adhabu na kuonyesha uwepo wa Muumba mbingu na ardhi. Adhabu jii tumeirithi karne kwa karne
 
Nataka vyama vyetu viige mfano mzuri wa viongozi wa dini wanavyoheshimiana na kupendana, kwa sababu jukumu langu mlinipa ni kuilinda amani ya Tanzania, hakuna mtu aliyezuiliwa kufanya mikutano mahali pake." - RAISI MAGUFULI
 
Hakuna anaemzuia Kubenea kufanya mkutano kwenye Jimbo lake la Ubungo, Mbowe kwenda kufanya Mikutano kwenye Jimbo lake la Hai. Hakuna anayekatazwa kufanya mikutano, wanaendelea kufanya na nyinyi ni mashahidi, hakuna mtu aliyezuiliwa kufanya mikutano mahala pake." RAISI MAGUFULI
 
Pesa haina mtumishi wa mungu wala sheikh wala imamu sijui askofu. Pesa inaleta furaha kwa familia na maishani. Baraka ya pesa ni baraka ambayo kila mwanadamu anshitaji. Hata taasisi za kidini wanahitaji. Hakuna cha kushangaza hapo. Mtu anayepinga basi ajaribu umasikini.
 
Bugando Hospital asilimia kubwa inalipiwa na Serikali, lakini pana wizi pale wa ajabu, kuna skendo pale ya fedha Sister (Mtawa) akaamua kujiua, juzi wamekuta amefungua akaunti nyingine ya Milioni 100 ambayo walikuwa hawaijui" RAISI MAGUFULI
 
Back
Top Bottom