Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anko nae apumzike aah kila siku kumsingizia yeye tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha bro bhana,,tungeona picha ingependeza zaidJuma ni domozege?
Juma ni memba wa CHAPUTA, CHACHAWA au CHAWAMITA?
Juma ana ukame wa kiasi gani?
Ashura ana msambwanda?
Juma ni mcha Mungu?
Majibu ya maswali haya yanaweza kutoa fununu kuhusu usalama wa hiyo elfu kumi yake...
Ooooh!
Jana nimesoma zaburi mpaka 100 kuna sehemu nimeona wanadamu wakilalamikiwa walipewa mana,njiwa etc ila hawakuridhika wala kuamini kuna Mwenyezi Mungu wao wakaanza umba miungu yao suluhisho ikawa ni kuwapunguzia miaka ya kuishi na kufa kama adhabu na kuonyesha uwepo wa Muumba mbingu na ardhi. Adhabu jii tumeirithi karne kwa karneOoooh!
Kati ya siri mojawapo kubwa kabisa hapa duniani ni hii ya kifo. Kwa nini tufe? Whai whai? Ilikuwa lazima tufe? Hakukuwa na mbadala jamani?
RIP...Mmojawapo wa wanamuziki bora kabisa wa Afrika
ππππWoooooiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππππ mbele ya pipiii