Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1547829699385.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nimesoma zaburi mpaka 100 kuna sehemu nimeona wanadamu wakilalamikiwa walipewa mana,njiwa etc ila hawakuridhika wala kuamini kuna Mwenyezi Mungu wao wakaanza umba miungu yao suluhisho ikawa ni kuwapunguzia miaka ya kuishi na kufa kama adhabu na kuonyesha uwepo wa Muumba mbingu na ardhi. Adhabu jii tumeirithi karne kwa karne
Sasa makosa ya Waisraeli walalamishi wasioridhika ndo na sisi yakatukumba? Hii ni fea kweli?
 
Tag kila kona,kurusha roho,kuzinduana kwa mbwembwe kama zoooteee,malavidavi muchana na usiku kweupee peeee. Siku ya kumwagana ni kimya kimya unasikia kishindo ignore list hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifanya nichek sana aisee hahah
 
Back
Top Bottom