Tag kila kona,kurusha roho,kuzinduana kwa mbwembwe kama zoooteee,malavidavi muchana na usiku kweupee peeee. Siku ya kumwagana ni kimya kimya unasikia kishindo ignore list hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na za JF ziko vipi?
Sasa makosa ya Waisraeli walalamishi wasioridhika ndo na sisi yakatukumba? Hii ni fea kweli?Jana nimesoma zaburi mpaka 100 kuna sehemu nimeona wanadamu wakilalamikiwa walipewa mana,njiwa etc ila hawakuridhika wala kuamini kuna Mwenyezi Mungu wao wakaanza umba miungu yao suluhisho ikawa ni kuwapunguzia miaka ya kuishi na kufa kama adhabu na kuonyesha uwepo wa Muumba mbingu na ardhi. Adhabu jii tumeirithi karne kwa karne
Za JF ziko poa na zinadumu sana bro. Kama unabisha sema nikupeleke Mwanza [emoji16][emoji16][emoji16]Na za JF ziko vipi?
Gaborone kamandaNingejua anapouzia Matunda yake ningeenda kununua [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaa!Shosti sipendagi ligi za kijinga ila watu kama wewe huwa mnazingua. Sasa dada kwani ungeingia kwenye huo uzi ungepungukiwa na nyege ngapi mxiiiewww
The rolo modo izi back [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifanya nichek sana aisee hahahTag kila kona,kurusha roho,kuzinduana kwa mbwembwe kama zoooteee,malavidavi muchana na usiku kweupee peeee. Siku ya kumwagana ni kimya kimya unasikia kishindo ignore list hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha hapana bro,huko siwezi kwendaZa JF ziko poa na zinadumu sana bro. Kama unabisha sema nikupeleke Mwanza [emoji16][emoji16][emoji16]