Hii ndo rock city bana unakuja na mitisheti yako ya maana unabadilishiwa kwa mashati ya vitenge Davet hope upo poa hahahha zile jeand mikato sijui michaniko ziko bomba bana usirudi dar na surual za vitambaa kama za ankooooooo andjul
i miss our dia biblia