myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!! Kashaliwa..
Chaliiiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] teh teh tehMnyamaaaaaa !!!
View attachment 1004733
Chatu hang'ati bana aliandika atakua hajui chatuMwanamke mmoja nchini Australia "ameruka kutoka kwa kiti cha choo" baada ya kung'atwa na nyoka aina ya chatu.
''Nilihisi kama nimedungwa kisu kwenye mkalio ilikuwa uchungu sana, ghafla nilijipata nimeruka juu na kukimbilia nje nikiwa nusu uchi'' Richards aliviambia vyombo vya habari.
Bi Richards, 59, aling'atwa nyoka huyo katika nyumba ya jamaa zake mjini Brisbane mapema wiki hii.
Kipi kilianza?View attachment 1004770
Calculus made easy! [emoji1][emoji1]
Majirani wengine mhhh [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
It is liiiiiit !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
Aaaaa wapi [emoji16][emoji16][emoji16]