Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

455204295_53141.jpeg
 
Mwanamke mmoja nchini Australia "ameruka kutoka kwa kiti cha choo" baada ya kung'atwa na nyoka aina ya chatu.
''Nilihisi kama nimedungwa kisu kwenye mkalio ilikuwa uchungu sana, ghafla nilijipata nimeruka juu na kukimbilia nje nikiwa nusu uchi'' Richards aliviambia vyombo vya habari.
Bi Richards, 59, aling'atwa nyoka huyo katika nyumba ya jamaa zake mjini Brisbane mapema wiki hii.
Asee, nchi hiyo inajivunia utalii wa nyoka.[emoji16][emoji16] Nyoka kila mahali
Nyoka mpaka kwenye shimo la choo[emoji16][emoji16]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom