myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Watawapa watu sumu hao....Serikali iingilie kati [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1004740
Duh!!! Kapendeza
Duh!!! HatariiARSENAL ya Ligi Kuu England imepata pigo baada ya beki wake pembeni, Hector Bellerin kupata majeraha mabaya ya goti ambayo yatamfanya kukosa msimu wote 2018/2019.
Mh!!!Taarifa za kitabibu zinaonyesha mchezaji huyu amepata jeraha la goti la kushoto kwa kukwanyuka nyuzi ngumu ya ligamenti iliyopo mbele ya goti.