Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Aseee, Mwenyezi awajaalie mvua waepukane na dhahama hiyoHuwa hana sumu lakini anapomng'ata mtu inapendekezwa adungwe sindano ya pepo punda.
Wiki za hivi karibuni Australia imekuwa ikishuhudia joto kali ambalo limevuja rekodi.
Wanyama wengi wa porini wameripotiwa kufa ikiwemo popo na samaki.
Kigoma moja na mambo yaoWaswahili wanasema usilolijua ni sawa na usiku wa giza, maana uwepo wa mashuka hayo si kwa ajili ya kujipatia kipato tu bali ni mila na desturi kama lilivyo vazi la khanga.
Na kuchagua mashuka mazuri, unahitaji usaidi wa kujua majina na ujumbe uliopo kwenye shuka unalolichagua.
AseeKila shuka lina jina lake, ambapo mengi yamebatizwa majina ya watu maarufu, wakiwemo viongozi wa kisiasa kama Mbunge wa mkoa huo Zitto Kabwe, Obama, Magufuli, Lowasa, Wema Sepetu na mengine mengi.
Huku majina mengine yakiwasilisha wanyama na vitu mbalimbali kama vile Pundamilia, Tausi, Nanasi, samaki wa kigoma, mwanamke mazingira, jumba la maneno, msala, pembe la ng'ombe, mwiba na kapu la kigoma.
✔✔
Tanzania yenye makabila yanayotunza mira na tamaduni.duh!!
Sawa sawaTanzania yenye makabila yanayotunza mira na tamaduni.
WahadzabeView attachment 1004803
Sent using Jamii Forums mobile app