Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Chelsea – Gonzalo Higuain, Pauni 270,000 kwa wiki
Habari ndiyo hiyo, staa mpya wa mkopo huko Chelsea, Gonzalo Higuain ametua Stamford Bridge na kuvuruga bili ya mishahara kwenye kikosi hicho kutokana na mshahara wake mkubwa anaolipwa kwa kuichezeda timu hiyo.