Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ulipotea sana bro. Kwema lakini? Mwaka mpya ulikukutaje? TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ni heri kabisa
Sent from my SM-J530F using Tapatalk
Ulipotea sana bro. Kwema lakini? Mwaka mpya ulikukutaje? TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ni heri kabisa
Sent from my SM-J530F using Tapatalk
Hiki hapa kama unakitafuta. Mawazo yake haya yalipingwa sana na nguli wenzake hasa Chinua Achebe na Ken Sarowiwa. Wao wanadai kuwa lugha ni chombo tu cha kuwasilishia maudhui ya mwandishi na fasihi ya Kiafrika inaweza kuandikwa katika lugha yo yote ile ali mradi ijishughulishe na ukombozi wa Mwafrika kiuchumi, kisaikolojia, kitamaduni n.k. Ili kufikia hadhira ya kimataifa na kuikuza fasihi hiyo, kuna faida nyingi za kutumia lugha za kimataifa katika Fasihi ya Kiafrika japo Ngugi anapinga katakata na kudai kuwa fasihi ya Kiafrika kamwe haiwezi kuwa sahili kama haijaandikwa katika lugha za Kiafrika. Ni mjadala unaoendelea kurindima mpaka leo na kesho...View attachment Decolonising the Mind - Ngugi wa Thiong'o.pdf
Jenerali Obasanjo
Ngugi hakuelewana kabisa na Kenyata Sr mpaka ikabidi atimkie nje....
The real queen of Africa...
Inasemekana huyu jamaa ni mchawi balaa hata malkia wetu humu haoni ndani [emoji16][emoji16][emoji16]
Mshindi pekee wa tuzo ya Nobel ya Fasihi kwa upande wa Afrika...
Amekuwa mashuhuri sana. Kumwalika kwenye kongamano bila $20+K wala msijisumbue. Tena mnaongea na ajenti wake tu kuhusu bei