Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Make sure you don't miss...
f0542c4c-9127-48b6-9383-5f6ecaea819b.gif
 
Mtafute PM ukiweza. Ni mtu mmoja mwenye uelewa wa kina sana wa haya mambo ya kompyuta na tekinolojia; na ana roho njema. Ikibidi anzisha uzi halafu umuite yeye, our own Capital na wengineo. Kwa hali hiyo utaweza kupata msaada kwa urahisi.
Nmemchek PM tayali bro,ngoja nisubiri jibu atakalo nipo,,ila hapa pia bado nipo nakomaa nayo,,maana imezingua jioni hii.
 
Jenerali Obasanjo
Namkubali sana Generali huyu, mambo aliyoyafanya mwaka 1976 baada ya kuzima mapinduzi yaliyotoa uhai wa Murtala Mohamed, hasa aliporudisha utawala wa kidemokrasia miaka miwli baadaye.
Lakini nimemkubali sana wakati akiongoza Nigeria 1999-2007, kwangu namuona ni mtu aliyefungua ukurasa mwingine wa utawala wa haki ndani ya taifa hilo kubwa lililosheni changamoto mbalimbali barani humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasemekana huyu jamaa ni mchawi balaa hata malkia wetu humu haoni ndani [emoji16][emoji16][emoji16]
Huko nyuma akiwa madarakani aliwahi kutangaza kuwa yeye ni mganga hodari wa mizizi.
Kwamba alikuwa na uwezo wa kutibu magonjwa sugu yaliyoshindikana ikiwemo ukimwi.
Hata hivyo sijawahi sikia tena ushuhuda toka kwa wale aliowatibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namkubali sana Generali huyu, mambo aliyoyafanya mwaka 1976 baada ya kuzima mapinduzi yaliyotoa uhai wa Murtala Mohamed, hasa aliporudisha utawala wa kidemokrasia miaka miwli baadaye.
Lakini nimemkubali sana wakati akiongoza Nigeria 1999-2007, kwangu namuona ni mtu aliyefungua ukurasa mwingine wa utawala wa haki ndani ya taifa hilo kubwa lililosheni changamoto mbalimbali barani humu

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa elimu nzuri bro,,japo ni fupi inatosha kumjua Generali huyu
 
Back
Top Bottom