Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndugu zangu,,naomba msaada,,external yangu imefuta kila kitu,,nilikuwa naomba msaada kwa mtu anayejua app ya kurecover ,,ili faili zangu zirudi zote upya.

Weekend mbaya sana kwangu hii!!
Capitalpool bila shaka aweza kusaidia hapa...Kuna kipindi nilifuta mafaili katika kompyuta yangu nikapeleka kwa jamaa akayarudisha sema ilikuwa chuoni na walinifanyia bure
 
Ndugu zangu,,naomba msaada,,external yangu imefuta kila kitu,,nilikuwa naomba msaada kwa mtu anayejua app ya kurecover ,,ili faili zangu zirudi zote upya.

Weekend mbaya sana kwangu hii!!
Pole bro...Kama kuna picha zako mbaya, mafaili ya siri au mambo nyeti ya kazi humo usipeleke kwa fundi wa mtaani. Utaziona mtandaoni muda si mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…