Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mtafute PM ukiweza. Ni mtu mmoja mwenye uelewa wa kina sana wa haya mambo ya kompyuta na tekinolojia; na ana roho njema. Ikibidi anzisha uzi halafu umuite yeye, our own Capital na wengineo. Kwa hali hiyo utaweza kupata msaada kwa urahisi.Yupo humu bro?
Nmemchek PM tayali bro,ngoja nisubiri jibu atakalo nipo,,ila hapa pia bado nipo nakomaa nayo,,maana imezingua jioni hii.Mtafute PM ukiweza. Ni mtu mmoja mwenye uelewa wa kina sana wa haya mambo ya kompyuta na tekinolojia; na ana roho njema. Ikibidi anzisha uzi halafu umuite yeye, our own Capital na wengineo. Kwa hali hiyo utaweza kupata msaada kwa urahisi.
Chicago Bulls enzi hizo
Safi, mambo vipiWakuu habari zenu
Sent from my SM-J530F using Tapatalk
Namkubali sana Generali huyu, mambo aliyoyafanya mwaka 1976 baada ya kuzima mapinduzi yaliyotoa uhai wa Murtala Mohamed, hasa aliporudisha utawala wa kidemokrasia miaka miwli baadaye.Jenerali Obasanjo
Huko nyuma akiwa madarakani aliwahi kutangaza kuwa yeye ni mganga hodari wa mizizi.Inasemekana huyu jamaa ni mchawi balaa hata malkia wetu humu haoni ndani [emoji16][emoji16][emoji16]
Asee, sikulijua hiloAmekuwa mashuhuri sana. Kumwalika kwenye kongamano bila $20+K wala msijisumbue. Tena mnaongea na ajenti wake tu kuhusu bei
Pole bro...Kama kuna picha zako mbaya, mafaili ya siri au mambo nyeti ya kazi humo usipeleke kwa fundi wa mtaani. Utaziona mtandaoni muda si mrefu.
Asante kwa elimu nzuri bro,,japo ni fupi inatosha kumjua Generali huyuNamkubali sana Generali huyu, mambo aliyoyafanya mwaka 1976 baada ya kuzima mapinduzi yaliyotoa uhai wa Murtala Mohamed, hasa aliporudisha utawala wa kidemokrasia miaka miwli baadaye.
Lakini nimemkubali sana wakati akiongoza Nigeria 1999-2007, kwangu namuona ni mtu aliyefungua ukurasa mwingine wa utawala wa haki ndani ya taifa hilo kubwa lililosheni changamoto mbalimbali barani humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tyson enzi za utawala wake...Make sure you don't miss...
View attachment 1005726