mahatmaxlla
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 967
- 1,575
Wanaita engeneer soma hiyoooooo ngapi aisee engeneer acha uzembe.Haya bana...[emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1005784
Hakuna ngumi hapa. Hawa wanataka kupiga hela tu.
Ha ha ha kwann mkuu wakati watu wanajichanga na hela inawekwa mezani kwaajili ya pambanoHakuna ngumi hapa. Hawa wanataka kupiga hela tu.
Aaaaa wapi. Hata mwezi hauishi ushamchoka [emoji16][emoji16][emoji16]
Alijiamini sana kupita kiasi mpaka alipokutana na Buster Douglas kule Tokyo...kuanzia hapo ikawa mteremko tu...
Kwa buster alifua dafu aisee,kimsingi lilikuwa pambano la kukata na shoka.Alijiamini sana kupita kiasi mpaka alipokutana na Buster Douglas kule Tokyo...kuanzia hapo ikawa mteremko tu...
View attachment 1005799
Mkuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]