Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Aisee pole..Ndugu zangu,,naomba msaada,,external yangu imefuta kila kitu,,nilikuwa naomba msaada kwa mtu anayejua app ya kurecover ,,ili faili zangu zirudi zote upya.
Weekend mbaya sana kwangu hii!!
Mzee wa kung'ata kama Trafiki naniliu
Hataree sana wengi madishi yanayumba baadaeFrank Bruno naye kwa sasa yupo yupo tu. Wengi wanaamini hayuko sawa kichwani. Huyu yeye alikuwa hadondoki. Yaani anapigwa tu ngumi mfululizo kama zezeta hajitambui lakini haanguki. Refa asiposimamisha pambano angeweza hata kuuliwa akiwa amesimama tu...
View attachment 1005780
Never give up
Nzuri ..
Aisee pole..
Ni kweli bro. Wengi wao hata kuongea sawasawa hawawezi. Tatizo ni kwamba wengi wao huwa hawastaafu mapema na huendelea kupigana hata baada ya uzee kuwaingia na motor skills kupungua. Mohammed Ali mwenyewe ni mfano mzuri. Ukiangalia pambano lake na Larry Holmes utashangaa jinsi alivyopigwa ngumi nyingi kichwani; na wengi wanaamini kuwa pengine ubongo wake ulivurugwa katika pambano hilo. Akina Sugar Shane Moseley bado wadogo lakini kusikia wanachosema mpaka utege sikio sawasawa. Akina Sugar Ray Leonard na hasimu wake mkuu Tommy Hearns mambo ni yale yale. Ni mchezo mbaya na inabidi uwe na uwezo mkubwa wa kukwepa ngumi na ustaafu mapema kama Mayweather ndiyo ubakie salama. Huyu dogo hajawahi kuwa kwenye pambano ambapo alipigwa ngumi za kichwani na kuumizwa. Mapambano yake karibu yote yeye ni kujilinda kwanza halafu ukizubaa keshakudunda...na amestaafu bila kupigwa...
Mambo ya kugongwa gongwa kichwani ni hatari na wachezaji wa American Footbal, mbali na kuvaa mahelmet nao mambo ni yale yale. Wakistaafu wengi wao wanakuwa hawako sawa kichwani na wanakuja mapema sana. Miaka 60 tu kwisha habari yao...Hata soka nayo sasa wachezaji wanashauriwa kuacha kupiga vichwa mipira hii ya juu kwa sababu madhara yake ni yale yale huko mbele ya safari.
Kabsa,,ni kama lile pambano la juzi hapa la The Money Team,,aliopiga yule dogo kwa sekunde tu,,lile dhahr walikuwa wameandaa kupiga pesa tu ila kimsing hakukuwa na pambano,,,siku hz sanaa kila sehemuHakuna ngumi hapa. Hawa wanataka kupiga hela tu.