Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nimwiza Meghan aliwashinda wasichana 15 walioshindana katika raundi ya mwisho.
Amevikwa taji la Miss Rwanda huku akibubujikwa na machozi na kwa furaha isiyo na kifani akawashukuru watu wote waliomuunga mkono wakiwemo pia wazazi wake:
Hatahivyo kwa mara ya kwanza katika historia ya kumteua Miss Rwanda , mchakato uliingia dosari ya swala la ukabila baina ya Wahutu na Watutsi.
Miongoni mwa wasichana 15 waliotinga raundi ya fainali, mmoja wao Josianne Mwiseneza alikuwa kutoka kabila la Wahutu na alifanya bidii kubwa kufika kwenye fainali hadi kuteuliwa kuwa Miss Popularity kwa kuchaguliwa na wengi kupitia ujumbe wa simu na kwenye mitandao ya kijamii.