myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
muda wa kupeana pole
watakaribiana tu muda mfupiMpaka sasa Liverpool inaongoza kwa tofauti ya pointi nne dhidi ya wapinzani wao wa karibu Manchester City ambao mechi yao ya mwisho inatazamiwa kuwa dhidi ya Brighton ugenini na kabla ya hapo watakuwa nyumbani wakicheza na Leicester City katika Dimba la Etihad.