Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
20190128_115055.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afisa habari wa klabu ya Simba, Haji Sunday Manara ametolea ufafanuzi kauli yake aliyoitoa wakati akizungumza na wanahabari juzi Januari 26, akiwataka mashabiki wa klabu yake kutofautisha kazi na maisha binafsi. Haji alionesha kuchukizwa na moja ya mashabiki kumtolea matusi mtandaoni huku akimhusisha hadi mama yake mzazi ambapo alidai kuwa kitendo kile ni 'upumbavu' na haikumaanisha kuwa mashabiki wote wako vile na atakayeonesha video ikionesha akisema maneno yale atatoa kiasi cha shilingi milioni tano. Kupitia ukurasa wake wa 'Instagram' ameandika kuwa, "Sikuwa hata nataka kuliibua tena hili ila watu wangu wa karibu wamenishauri nijibu sababu uongo ukizungumzwa sana unaaminika ni kweli mimi siwezi na sijawaita mashabiki wa Simba ni wapumbavu, nimetaja neno pumbavu kwa mtu aliyenitukania mama yangu matusi mazito yasioandikika". "Msilishwe matango pori na watu wenye chuki na hasadi, ninatoa Milioni tano kwa mtu yoyote atakaeisambaza 'clip' inayoonyesha mimi nimesemema mashabiki wa Simba wapumbavu", ameongeza Haji Manara.
 
MEEK MILL AMPA ZAWADI RICK ROSS KWENYE BIRTHDAY YAKE. Rapa Meek Mill amezidi kuonyesha upendo kwa mshkaji wake Rick Ross baada ya kumzawadia cheni (Bracelet) inayotajwa kuwa na gharama zaidi ya Million 30 za Kibongo
 
Januari 28, 1985, wimbo wa 'We are the world' ulioimbwa na Umoja wa wasanii wa Marekani kwa Afrika ulirekodiwa ili mapato yake yasaidie Ethiopia Wimbo huo uliandikwa na Michael Jackson (R.I.P) na Lionel Richie, ulitengenezwa na producer Quincy Jones na Michael Omartian
 
“Nipo na mume wangu kama kawaida lakini siwezi kumposti kwa sababu nilikamatwa kwa sababu yake ingawa tulipofika polisi wakakuta umri wake unaruhusu, si mdogo kama walivyodhani, huyu nitaishi naye milele mpaka kifo kitute-nganishe ila kwa mitandao sasa anapu-mzika, ”- Sista Fey.
 
Afisa habari wa klabu ya Simba, Haji Sunday Manara ametolea ufafanuzi kauli yake aliyoitoa wakati akizungumza na wanahabari juzi Januari 26, akiwataka mashabiki wa klabu yake kutofautisha kazi na maisha binafsi. Haji alionesha kuchukizwa na moja ya mashabiki kumtolea matusi mtandaoni huku akimhusisha hadi mama yake mzazi ambapo alidai kuwa kitendo kile ni 'upumbavu' na haikumaanisha kuwa mashabiki wote wako vile na atakayeonesha video ikionesha akisema maneno yale atatoa kiasi cha shilingi milioni tano. Kupitia ukurasa wake wa 'Instagram' ameandika kuwa, "Sikuwa hata nataka kuliibua tena hili ila watu wangu wa karibu wamenishauri nijibu sababu uongo ukizungumzwa sana unaaminika ni kweli mimi siwezi na sijawaita mashabiki wa Simba ni wapumbavu, nimetaja neno pumbavu kwa mtu aliyenitukania mama yangu matusi mazito yasioandikika". "Msilishwe matango pori na watu wenye chuki na hasadi, ninatoa Milioni tano kwa mtu yoyote atakaeisambaza 'clip' inayoonyesha mimi nimesemema mashabiki wa Simba wapumbavu", ameongeza Haji Manara.
Tumekusikia Manara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Januari 28, 1985, wimbo wa 'We are the world' ulioimbwa na Umoja wa wasanii wa Marekani kwa Afrika ulirekodiwa ili mapato yake yasaidie Ethiopia Wimbo huo uliandikwa na Michael Jackson (R.I.P) na Lionel Richie, ulitengenezwa na producer Quincy Jones na Michael Omartian
Sawa.
U.S.A for Africa 1984.
Twalikumbuka sana tukio hili hasa pale msanii Henry Bellafonte alipokanyaga ardhi ya Tanzania na kuzungumza na mh rais JK Nyerere kuja kutupoza makali ya njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom