Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Haya maisha bana, jinsi unavyoendelea kuuelewa Ulimwengu ndio na stress zinavyozidi kuongezeka. Huko kijijini Bwana mtu akishatikisa kopo/Bakuli lake la pombe za kienyeji basi, amemaliza kila kitu!
Huku tupo mkuu, tunapambana na hali zetu, baridi la kukata na shoka! Kama una mnyama huku huwezi kusurvive! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Umeona sasa madhara ya kuzaliwa kijijini?
Unajua mjini nilikanyaga kwa lazima ya serikali ya Mwinyi kwa kuchaguliwa form one, lasivyo ningekuwa nipo tu Mwakaleli huku nimevalia shati la mpasuko wa mgongoni na tumboni nafurahia maisha ya joto [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Nazitamani hizo stori zenu (sema tu naogopa kupanda ndege) za baridi ujue! Nifanyaje(umri nao umeenda!!)ili nifike huko?
Poti usinishangae, nipo siriasi ujue. Nataka kusafisha nyota ya ukoo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…