Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Oya chukua likes....Oya naombeni like
Oya gonga likes kwa uliowakuta [emoji16][emoji16][emoji16]
Oya chukua likes....Oya naombeni like
Hii simu tabia zake haipishani na zile za serikali ya awamu ya TANO ya Jamuhuri Ya Muungano ya Tanzania.
Nakupenda pia.
Hii simu tabia zake haipishani na zile za serikali ya awamu ya TANO ya Jamuhuri Ya Muungano ya Tanzania.
Hasa upande wa ukiukwaji wa haki za Binadamu!
Hahahah aisee,nmecheka sana broKasipokuwepo yaani unakuwa bro safi sana. Kakija tu basi unavurugika. Pengine hiyo uppercut itakusaidia kukaa sawa mpaka katakapoondoka [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ni +ke?Nakupenda pia.
HahahaAliyekwama Mwanza akirudi lazima nimtag [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1007197
Ulikuwa umetekwa na nywila ukanyang'anywa ama? Karibu tena kijiweni...