Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kanakuvurugaga sana bro. Sijui ni kacrush kako? Hovyo kabisa bro...Hahahah aisee,nmecheka sana bro
Kanakuvurugaga sana bro. Sijui ni kacrush kako? Hovyo kabisa bro...Hahahah aisee,nmecheka sana bro
Safi sana...Kutoa Nywila ni jinai!! Alifanikiwa kubaki na kifaa tu.
Nashukuru nipo hapa tena!!
Hujambo Bro?
Amen Bro.Safi sana...
Tuko wazima bro...
Tunapumua...
TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sawa bro...Nakupenda haichagui jinsia Bro,
Nakupenda pia.
Hahah inaweza kuwa bro,u never know mimi na hawa vimbaumbau ni damu damu mileleKanakuvurugaga sana bro. Sijui ni kacrush kako? Hovyo kabisa bro...
Kwa emoji ile nadhani ni KE.Sawa bro...
Naona naye amekujibu kwa [emoji8]
Hakuna shida....
Sasa si ukaambie tu laivu? Ni lazima upitie kwenye uhasama dhidi ya Wasukuma ili kuonyesha hisia zako? Kwa Shiro ulizubaa vijana wa Dar wakakupiku na hapa utajikongoja weee....Come on bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Hahah inaweza kuwa bro,u never know mimi na hawa vimbaumbau ni damu damu milele
Sasa si ukaambie tu laivu? Ni lazima upitie kwenye uhasama dhidi ya Wasukuma ili kuonyesha hisia zako? Kwa Shiro ulizubaa vijana wa Dar wakakupiku na hapa utajikongoja weee....Come on bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Nimejikuta tu nikicheka peke yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1007272
Rolo modo wa mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app