Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hahahah bro aisee,,unanichekesha sana leo,pale kwa shiro wala sikuzabaa sema basi tu,,Sasa si ukaambie tu laivu? Ni lazima upitie kwenye uhasama dhidi ya Wasukuma ili kuonyesha hisia zako? Kwa Shiro ulizubaa vijana wa Dar wakakupiku na hapa utajikongoja weee....Come on bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Nataka kuandika lkn nashindwa hahahah nmecheka sana leo hahaha dah
Eti kama ni ka my clush inabd nikambie tu hahah