Mfano huu wa sakata la Maurinho bila shaka utatumika sana katika kozi za Management kwenye mashirika, jeshini na kwingineko hasa kuhusu ishu za morale, ego na mshikamano. Walio chini yako wakikugomea hata uwe na kipaji namna gani ni kazi bure!!!Man United inaonekana kutulia tangu iwe chini ya Kocha Solskjaer aliyechukua mikoba ya Jose Mourinho baada ya kufutwa kazi huko Old Trafford mwezi uliopita.