Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Timu zote mbili zimekuwa bora, zimekuwa vema msimu mzima lakini wakati mwingine mambo yanafurahisha katika hatua hizi na presha inapanda zaidi. Kwa sasa City wana nafasi zaidi ya kuipa Liverpool presha. Imebidi waipange mechi yao dhidi ya Everton upya kwa sababu ya kufika fainali za michuano ya Carabao.”
 
Unasema kweli??? Ina maana watu wanavyolalama na kuparuana humu ni ya kweli?
Basi nimeshindwa, utani usije kuniponza nikaikimbia Id yangu bure... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wachezaji mmoja mmoja wana uwezo tofauti wa kuhimili hali hiyo, lakini zaidi ya James Milner na Daniel Sturridge, wachezaji wa Liverpool hawajahi kuwa katika hali hiyo. City ana faida, wamewahi kuwa katika hali hiyo. Pengo linaweza kuwa pointi moja baada ya City kucheza, lakini unaweza kuamini kwamba Liverpool wataichapa Leicester City siku inayofuata. Ukiwa hauna timu unayoishabikia hapo unafahidi.”
 
Unasema kweli??? Ina maana watu wanavyolalama na kuparuana humu ni ya kweli?
Basi nimeshindwa, utani usije kuniponza nikaikimbia Id yangu bure... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah ya kweli na mengine ya uongo ili mradi siku imeisha kwa mivurugano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Timu zote mbili zimekuwa bora, zimekuwa vema msimu mzima lakini wakati mwingine mambo yanafurahisha katika hatua hizi na presha inapanda zaidi. Kwa sasa City wana nafasi zaidi ya kuipa Liverpool presha. Imebidi waipange mechi yao dhidi ya Everton upya kwa sababu ya kufika fainali za michuano ya Carabao.”
 
Na sasa aitakuwa kabla ya fainali kwa iyo wanaweza kupunguza pengo jingine na Liverpool kabla ya wikiendi hiyo haijafika au hata kuongoza ligi, Jumatano ya kwanza ya Februari. Naamini timu zote mbil zitateleza kabla ya mwisho wa msimu. Liverpool ina faida ya kufanya kosa moja tu wakati City itabidi washinde kila mechi.” Aliongeza staa huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…