Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Robo fainali ya Coppa Italia msimu huu imekaa kama shindano la 8 bora ya Serie A, huku Fiorentina ikiwa ni timu pekee nje ya nane bora katika msimamo wa ligi ya Serie A msimu huu.
Utamu unaanzia jijini Milan ambapo wenyeji AC Milan watawakaribisha Napoli kwenye Uwanja wa San Siro saa 4:45 Usiku.
Utamu unaanzia jijini Milan ambapo wenyeji AC Milan watawakaribisha Napoli kwenye Uwanja wa San Siro saa 4:45 Usiku.