myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Salam kwenu
Wanasema kwenye miti mingi hakuna wajenzi... Daadeki..au labda kaka yetu ni functionless akaona ataaibika..Sijui nitakuwa sijaelewaa?!!! Yaani konokono plasi milioni tano? Niache konokono nichukue milioni 5? Ili iweje? Yaani vimilioni vitano viwe vitamu kuliko konokono? Haki ya nani dunia imeshaishiwa na kundi la wavulana.
Huyo binti anatumia kigezo gani (mimi mwenyewe mweusi kama huyo fala) kutongoza?
Tafadhali Anko nipo kwenye uhitaji wa "konokono" anaeliwa huku mlaji akipongezwa na vinoti noti vya mafungu... Niunganishe nae kama una mfahamu... Pulizzzz ankoo [emoji120][emoji120]
😀😀😀 kiongoz kipindi hiko nilichungulia sana mapaja ya wadada,shikamoooo nyoka