[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Acha baridi hilo likukung'ute alone kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna dogo kaja kafikia Minneapolis kule leo nimempigia anasema eti nikisikia kafa kwa ajili ya baridi nisishangae [emoji16][emoji16][emoji16]
aiseee
safiiii.................
Hahaha unafukuwa makaburi brohahah bro