Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii ndo rock city bana unakuja na mitisheti yako ya maana unabadilishiwa kwa mashati ya vitenge Davet hope upo poa hahahha zile jeand mikato sijui michaniko ziko bomba bana usirudi dar na surual za vitambaa kama za ankooooooo andjul
i miss our dia biblia View attachment 1004929
hahahah sawa bhana, vipi uko poa?
 
Wameungana tumboni na mmoja moyo wake haufanyi kazi sawasawa na wakitenganishwa hataweza kuishi. Wakiwaacha moyo wa mmoja unaofanya kazi vizuri hautaweza kusukuma damu ya kuwatosha wote wawili huko mbele ya safari na wote watakufa. Madaktari wamemuomba baba yao achague sasa hivi kufanya operesheni ya kuwatenganisha kabla moyo ulio mzima haujaathirika zaidi. Mmoja lazima afe !!![emoji1545][emoji1545][emoji1545]
IMG-20190131-WA0005~2.jpeg
 
Wameungana tumboni na mmoja moyo wake haufanyi kazi sawasawa na wakitenganishwa hataweza kuishi. Wakiwaacha moyo wa mmoja unaofanya kazi vizuri hautaweza kusukuma damu ya kuwatosha wote wawili huko mbele ya safari na wote watakufa. Madaktari wamemuomba baba yao achague sasa hivi kufanya operesheni ya kuwatenganisha kabla moyo ulio mzima haujaathirika zaidi. Mmoja lazima afe !!![emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 1009578
ni mtihani mgumu sana...
 
Back
Top Bottom