Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Waaow hatimae umeibuka. Am fine kama vipigo vya man citeeeehahahah sawa bhana, vipi uko poa?
Waaow hatimae umeibuka. Am fine kama vipigo vya man citeeeehahahah sawa bhana, vipi uko poa?
Heeeh jamani ata mgeni sijapumzikaWaaow hatimae umeibuka. Am fine kama vipigo vya man citeeee
Mgeni waaapiiii tukisema uji ,parachichi ushafahamu maana yakeHeeeh jamani ata mgeni sijapumzika
Shua skendo hazikwepekiSkendo muhimu maishani....
Cha muhimu tu umerudi...
Halafu huko MZA eti ulipata bahati ya kufika kwenye lile lisamaki linalotema maji? Asking for a friend [emoji16][emoji16][emoji16]
Heheheh hatari sana, me niko poa na vipigo nimezoea sasa cha ajabu nafasi yangu hakuna anaenishushaMgeni waaapiiii tukisema uji ,parachichi ushafahamu maana yake