Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Wenyeji wangu nao swaga nyingi tatizo, ona sasa sijamuona samaki mtema majiHapo ndo nashangaa ulifikaje kamanga bila kuoneshwa lisamaki penda daah wenyeji walikukatilia sana
Wenyeji wangu nao swaga nyingi tatizo, ona sasa sijamuona samaki mtema majiHapo ndo nashangaa ulifikaje kamanga bila kuoneshwa lisamaki penda daah wenyeji walikukatilia sana
Hahahah binti mstaarabu bhanamzee wa liver davet anakuchokoza huku
Hahah sawa sawa bromuhimu kutazama ya nyuma nijue naanzia wapi bro, kwema?
Hahahahaa ulipovuka maji ulifaidi upepo mwanana eeHahahah binti mstaarabu bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mgeni waaapiiii tukisema uji ,parachichi ushafahamu maana yake
Mungu anabariki mwanangu mwenyewe mambo yanasonga sana, vipi huko?Hahah sawa sawa bro
Kwema bro,vp mitikasi huko?
Bwana jezi za kutwa nzima?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku kwema mzee mwenzangu,Mungu anasaidia mambo yanaenda...Mungu anabariki mwanangu mwenyewe mambo yanasonga sana, vipi huko?
Vijana mna mambo eti mzee mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huku kwema mzee mwenzangu,Mungu anasaidia mambo yanaenda...
Karbu tena bro
Salama kabsa binti mrembo,binti mwenye rangi yake ya thao...Bwana jezi za kutwa nzima?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nahisi huu ndio uzi pekee hapa jf ambao una comments na likes nyingi kuliko uzi wowete ule