Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Salama kabsa binti mrembo,binti mwenye rangi yake ya thao...

Habari ya uzima?
Za kutwa ni nzuri kabisa
Baasi si nikaenda mtembelea jiran ake carbamazepine nikakuta kairemba rimoti yake mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijataja kabila jaman
50117159_2319442141434400_8057017036611421895_n.jpg
 
Wameungana tumboni na mmoja moyo wake haufanyi kazi sawasawa na wakitenganishwa hataweza kuishi. Wakiwaacha moyo wa mmoja unaofanya kazi vizuri hautaweza kusukuma damu ya kuwatosha wote wawili huko mbele ya safari na wote watakufa. Madaktari wamemuomba baba yao achague sasa hivi kufanya operesheni ya kuwatenganisha kabla moyo ulio mzima haujaathirika zaidi. Mmoja lazima afe !!![emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 1009578

Yeuwii ehhh Mola wangu ehhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya jana walikuwa wameshinda 19 za Ligi msimu huu na kichapo pekee ambacho wamepokea mpaka sasa ni kile dhidi ya wapinzani wao Manchester City Januari 3 kwenye Uwanja wa Etihad. Liverpool pia wapo katika hatua ya 16 bora ya michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya ambapo wamepangiwa kukipiga na Bayern Munich.
 
Hata hivyo, ni taji la la Ligi Kuu ya England ndilo ambalo linawapa shauku kubwa mashabiki wa Liverpool wakati huu wataalamu wa masuala ya soka wakiamini kwamba Liverpool imepata kikosi bora kuliko vyote tangu mwaka 1990.
 
Wakati wa kwenda hapana ilikua kero sanaaa maana wasukuma walijazana sana kwenye kivuko naona kwasababu ya sikukuu ila wakati narudi ndio nilienjoy sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akina bro bro wanakazi sana kila kitu kusingiziwa. Vivuko vya busisi vipo poa sana hakuna misongamano kama kamanga labda sababu vipo mbali na mji.
 
Wameungana tumboni na mmoja moyo wake haufanyi kazi sawasawa na wakitenganishwa hataweza kuishi. Wakiwaacha moyo wa mmoja unaofanya kazi vizuri hautaweza kusukuma damu ya kuwatosha wote wawili huko mbele ya safari na wote watakufa. Madaktari wamemuomba baba yao achague sasa hivi kufanya operesheni ya kuwatenganisha kabla moyo ulio mzima haujaathirika zaidi. Mmoja lazima afe !!![emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 1009578
Maamuzi magumu kama mie ningechagua waishi tu kila mmoja ataonja mauti
 
Za kutwa ni nzuri kabisa
Baasi si nikaenda mtembelea jiran ake carbamazepine nikakuta kairemba rimoti yake mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijataja kabila jamanView attachment 1009608
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]remote imevalishwa cover [emoji23][emoji23] aisee nmecheka sana
Numbisa unatutafutia iginolist ww [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ya remote wallah kali
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akina bro bro wanakazi sana kila kitu kusingiziwa. Vivuko vya busisi vipo poa sana hakuna misongamano kama kamanga labda sababu vipo mbali na mji.
Busisi pako poa sana,,hata mazingira tu yapo vizuri,,,unaenjoy safari fresh kabsa,,,huku kamanga ni jam + vile vituko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akina bro bro wanakazi sana kila kitu kusingiziwa. Vivuko vya busisi vipo poa sana hakuna misongamano kama kamanga labda sababu vipo mbali na mji.
Wakati narudi nilipita huko Busisi 01 jan 19, hakika ni mbali sana na mji japo nilienyoy sana kuona watu wamevaa nguo sare sare pia kuna sehemu nilipita kabla ya kufika Nyegezi

Hahahah wacha nicheke tu
 
Back
Top Bottom