Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Heheheh basi itakua ndio huko huko maana kuna sehemu ya starehe ipo barabarani mkono wa kushoto ukiwa unaenda mjini, walijazana kama nyuki kwenye mzinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu huko na wewe eti nguo sare sare. Hio sehemu itakua ni buhongwa au mkolani maana zipo jiran na nyegez na ndio kuna nyomi la watu