Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
HahahahaEti bana mwanza nzima kataja Nyegezi tu daaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaEti bana mwanza nzima kataja Nyegezi tu daaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karuka kona ya nyegezi moja kwa moja mpaka buzuruga aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kijana mjanja huyu,kakwepa mtego,,ila tungeanza naye taratbu alikuwa anaelekea huko sema katuchanganyia habar na mambo ya buzuruga[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaahAnko andjul karibu tuufinye.
Hio suruali ya Davet baada ya kufika koromije[emoji125][emoji125]naenda kufata maji ya moto ya kunawia mikonoView attachment 1009647
Nimeangalia kalenda 1jan ilikua jnne so kuna mnada mkolan anyway hilo eneo litakua hapo hapo mkolan kuna ka kiwanja kazur ka stareheIkumbukwe 01 Jan ni siku ya sikukuu hivyo haikua mnada au soko ni kieneo fani hivi cha starehe yaani kimuonekano ni pazuri sana ,mixer garden nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anko andjul karibu tuufinye.
Hio suruali ya Davet baada ya kufika koromije[emoji125][emoji125]naenda kufata maji ya moto ya kunawia mikonoView attachment 1009647
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimemiss kutyp so twendeni tu
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Wanashangaa nini sasa wasukuma jamani hawazoei tuNimeangalia kalenda 1jan ilikua jnne so kuna mnada mkolan anyway hilo eneo litakua hapo hapo mkolan kuna ka kiwanja kazur ka starehe
Hio jan ungeenda rock city mail mwee mweee mweee kila ukitajiwa hilo eneo lazima ucheke panajaa pale na wala hakuna mnunuzi basi tu kushangaa shangaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante Anko, naja na chungwaView attachment 1009664
Nipo ndugu yangu, habari za siku?