Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ikumbukwe 01 Jan ni siku ya sikukuu hivyo haikua mnada au soko ni kieneo fani hivi cha starehe yaani kimuonekano ni pazuri sana ,mixer garden nini
Nimeangalia kalenda 1jan ilikua jnne so kuna mnada mkolan anyway hilo eneo litakua hapo hapo mkolan kuna ka kiwanja kazur ka starehe

Hio jan ungeenda rock city mail mwee mweee mweee kila ukitajiwa hilo eneo lazima ucheke panajaa pale na wala hakuna mnunuzi basi tu kushangaa shangaa
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Wanashangaa nini sasa wasukuma jamani hawazoei tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…