Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

VICHWA VITATU VIMEKUTWA KWENYE BEGI.. >> hiyo imetokea leo maeneo ya arusha wasichana wawili waliokuwa wako kwenye basi walikuwa wamebeba mabegi mawili yaliyokuwa yana vichwa vitatu. wasichana hao walikuwa wakitoka mwanza kwenda arusha. baada ya kuanza safari harufu ilizidi kwenye lile basi! dereva alipowaona asikari mbele yake aliamua kusimamisha gari ili mabegi yao yasachiwe. lakini wale wasichana waliongea na maasikari wakatoa dola 2000 wakapita bila kusachiwa. walipofika arusha dereva aliwaita maasikari wale wasichana wakakamatwa,, yale mabegi yao yaliposachiwa wakayakuta yana vichwa vitatu. walipovifanyia uchunguzi kila kichwa waligundua kulikuwa na kichwa cha IPHONE CHAGER kichwa cha SUMSANG CHAGER na kichwa cha ITEL CHAGER.. asante kwa kusoma habari yote. kama umechukia njoo tupigane! asante unaweza kuendelea na kazi ulokuwa unafanya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fikiria unatembea ucku pekee yako😫unamuona mtu yupo mbele yako anatembea unaamua umkimbilie ili muongozane sababu mitaa ile inatisha sana😔* unamfikia mnaongozana unackia anakwambia "hapa ndo ile sehemu niliyouwawa ga"😳😳😳😳😳😳😳
 
TAKO Jamani TAKO Acheni Liitwe TAKO, Hivi Umeshawahi Kuumwa TAKO? Umeshapata Ajali Ukaumia TAKO? Vyote Vitaumia Kasoro TAKO. Mwanafunzi Darasani Hapigwi Kichwani Bakora Zote Zinamalizikia Kwenye TAKO Hata Ukiumwa KOO, Sindano Kwenye TAKO. Ukichoka Unakalia TAKO. Kweli TAKO Linavumilia. Nakutakia UVUMILIVU Kama Wa TAKO. Usicheke Hilo Ndio TAKO Na Hapo Umekalia TAKO. Hebu SIMAMA Kidogo Ili Ulifariji TAKO. Ukitaka kujua umuhimu wa tako kalia kichwa.😂😂😂😂
 
KWANINI MASKINI WANABAKI HIVYO Mtu mmoja aliwahi kusema, "ukichukua fedha zote ulimwenguni na ukizagawa sawa sawa kwa kila mmoja, baada ya mda hela zitawarudia wale walio kuwa nazo mara ya kwanza" Kwanini? Maskini ni watumiaji wakati matajiri ni wawekezaji. Nioneshe mtu maskini, nitakuonyesha mtu anae pishana na fursa mara kwa mara. Mtu anaeona changamoto ndani ya kila fursa badala ya kuona fursa ndani ya kila changamoto. Kuwa MWANAUME sio cheo, ni jukumu. Inamaanisha unapaswa kuwwajibika kiuchumi Asubuhi, Mchana na Usiku. Lazima uchuku maamuzi magumu ili upate matokeo makubwa. Unapaswa kupanga na kuweka mikakati, lazima uthamini faida na fedha kidogo unayoipata. Lazima uwe makini na mwenye nia kama unataka kufanikiwa
 
Watani zangu...! MPO Unakuta unatumia Ela bila hata huruma... Lodge= 20,000/ Tsh Nauli =10,000/ Tsh Chakula na vinjwaji =30,000/ Tsh Condom aina ya RoughRider = 6000 Tsh Mwanamke unampa 20,000/ Tsh JUMLA 86000/= TSH [emoji23][emoji23][emoji23] Alafu Mamako home anaongea sabuni ya takasa ile ya kipande 200, na kitunguu anaomba kwa jirani hakika hakika nasema tena hakika mbingu utaisikia kwa Gwajima tu.

UGUMU wangu umeongezeka mara dufu baada ya kuisoma hii kitu! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Msichana akikuacha kwakua huna pesa na akakurudia wakati unazo, sio kwamba anapenda pesa hapana hapendi wewe uwe huna pesa kitu ambacho hata wewe hukipendi pia, Sasa utamlaumu mtu kutopenda kitu ambacho wewe mwenyewe hukipendi
Hata hivyo alipaswa aendelee kuwepo ili akupe faraja.
Wakati pesa zimekuishia ndio muda unaohitaji ukaribu zaidi wa watu wako kuliko wakati mwingine.
Anayekukimbia wakati huo hana nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWANINI MASKINI WANABAKI HIVYO Mtu mmoja aliwahi kusema, "ukichukua fedha zote ulimwenguni na ukizagawa sawa sawa kwa kila mmoja, baada ya mda hela zitawarudia wale walio kuwa nazo mara ya kwanza" Kwanini? Maskini ni watumiaji wakati matajiri ni wawekezaji. Nioneshe mtu maskini, nitakuonyesha mtu anae pishana na fursa mara kwa mara. Mtu anaeona changamoto ndani ya kila fursa badala ya kuona fursa ndani ya kila changamoto. Kuwa MWANAUME sio cheo, ni jukumu. Inamaanisha unapaswa kuwwajibika kiuchumi Asubuhi, Mchana na Usiku. Lazima uchuku maamuzi magumu ili upate matokeo makubwa. Unapaswa kupanga na kuweka mikakati, lazima uthamini faida na fedha kidogo unayoipata. Lazima uwe makini na mwenye nia kama unataka kufanikiwa

vijana tunataka kufanyikiwa tatizo WOWOWWOOW 😀😀 hawa wanawake wanamitego uchwaraaaaaaa kila hatua utayopiga nao wapo
 
Maisha pia lazima yapite kwenye njia hizo
Watani zangu...! MPO Unakuta unatumia Ela bila hata huruma... Lodge= 20,000/ Tsh Nauli =10,000/ Tsh Chakula na vinjwaji =30,000/ Tsh Condom aina ya RoughRider = 6000 Tsh Mwanamke unampa 20,000/ Tsh JUMLA 86000/= TSH [emoji23][emoji23][emoji23] Alafu Mamako home anaongea sabuni ya takasa ile ya kipande 200, na kitunguu anaomba kwa jirani hakika hakika nasema tena hakika mbingu utaisikia kwa Gwajima tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenny Dalglish & Ian Rush
Liverpool 1990.
FB_IMG_1548953727818.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom