Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

853237835_219810.jpeg
 
Hodi Shinyanga hodi Mwanza.
Nimekuja kuonana na wazazi wa SHB. Juu ya lalamiko lake la kila siku kuwa sijatoa mahari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Oyaaaaaa!!!

Mpare mpaka umeamua kukata mzizi wa fitina. Karibu sana shemeji. Nakushukuru sana kwa kuwa muungwana siyo kama yule mzee mwenye maneno mengi kama gharika aliyetudhulumu ng'ombe wetu mpaka leo japo watoto amechukua...

Ubarikiwe sana shemeji na karibu sana home [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Don’t EAT THE PU*SY cause it’s FAT, EAT it cause it’s GOOD FOR YOU [emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji97][emoji97][emoji97][emoji533][emoji533][emoji533][emoji97][emoji97][emoji97][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji104][emoji378][emoji76][emoji754][emoji41]
 
Msichana akikuacha kwakua huna pesa na akakurudia wakati unazo, sio kwamba anapenda pesa hapana hapendi wewe uwe huna pesa kitu ambacho hata wewe hukipendi pia, Sasa utamlaumu mtu kutopenda kitu ambacho wewe mwenyewe hukipendi
 
Watani zangu...! MPO Unakuta unatumia Ela bila hata huruma... Lodge= 20,000/ Tsh Nauli =10,000/ Tsh Chakula na vinjwaji =30,000/ Tsh Condom aina ya RoughRider = 6000 Tsh Mwanamke unampa 20,000/ Tsh JUMLA 86000/= TSH 😂😂😂 Alafu Mamako home anaongea sabuni ya takasa ile ya kipande 200, na kitunguu anaomba kwa jirani hakika hakika nasema tena hakika mbingu utaisikia kwa Gwajima tu.
 
Back
Top Bottom