Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1548954003070.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameungana tumboni na mmoja moyo wake haufanyi kazi sawasawa na wakitenganishwa hataweza kuishi. Wakiwaacha moyo wa mmoja unaofanya kazi vizuri hautaweza kusukuma damu ya kuwatosha wote wawili huko mbele ya safari na wote watakufa. Madaktari wamemuomba baba yao achague sasa hivi kufanya operesheni ya kuwatenganisha kabla moyo ulio mzima haujaathirika zaidi. Mmoja lazima afe !!![emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 1009578
Mungu ampe ujasiri...Mtihani mkubwa sana
 
BREAKING: Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda ameagiza vyombo vya usalama kumchunguza, harmonize_tz kama anatumia bangi au lahh! ili achukuliwe hatua za za kisheria.
Ikumbukwe kuwa Mkuu huyo wa Mkoa ni Mlezi wa WASAFI inayoongoozwa na Diamond Platinumz ambayo Harmonize ni moja ya member wa kundi hilo. View attachment 1009638
Bundi.. ....etc
 
Back
Top Bottom