Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
HahahahaAnko andjul karibu tuufinye.
Hio suruali ya Davet baada ya kufika koromije[emoji125][emoji125]naenda kufata maji ya moto ya kunawia mikonoView attachment 1009647
HahahahaAnko andjul karibu tuufinye.
Hio suruali ya Davet baada ya kufika koromije[emoji125][emoji125]naenda kufata maji ya moto ya kunawia mikonoView attachment 1009647
Hahaha ipo siku atasema tu ukweliKaruka kona ya nyegezi moja kwa moja mpaka buzuruga aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kumjaza polepole kijana atajaaa tuNimeangalia kalenda 1jan ilikua jnne so kuna mnada mkolan anyway hilo eneo litakua hapo hapo mkolan kuna ka kiwanja kazur ka starehe
Hio jan ungeenda rock city mail mwee mweee mweee kila ukitajiwa hilo eneo lazima ucheke panajaa pale na wala hakuna mnunuzi basi tu kushangaa shangaa
Hahaha anko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante Anko, naja na chungwaView attachment 1009664
Hahahaha duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1009665Ankoo haina haja,machungwa yapo mwenyeji atatugawia
Haha ngoja niandike kwenye dayali yangu kabsa,,,usisahau tu hahahh
HahahahBaiskeli ndio fahari yetu View attachment 1009686
Hahaha ww ndio umesema hivyoKama nimeona kina wasuku vile[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha shauri yako,unachokitafuta utakipata muda sio mrefuKina ninge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko ulikokuwa wakazi wengi ni kabila gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha hii kweli kabsaMAISHA BAADA YA KUFUMANIWA NA KUSAMEHEWA NI MAGUMU SANA HUWEZI HATA OMBA STYLE MPYA UTASIKIA!!!
"HII NDIO ULIYOKUWA UNAFANYA NA HUYO MPUMBAVU MWEZAKO..."