Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Wanashangaa nini sasa wasukuma jamani hawazoei tu
87be7665-2108-4243-8753-44793b0e9e20.gif
 
Nakazia
MWAKALELI hakuna vitu hivi[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila na sisi tumechelewa kwenye ramani ya dunia kwenye kipengele cha starehe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakumbuka siku lift inazinduliwa kwenye jengo la CWT, kuna mmama akawa anampiga "moto" mwenziye, eti "ukiwa humo kwenye hicho kindege hata ukibanwa na mkojo unakojoa humo humo, kuna choo"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom