Watani zangu...! MPO Unakuta unatumia Ela bila hata huruma... Lodge= 20,000/ Tsh Nauli =10,000/ Tsh Chakula na vinjwaji =30,000/ Tsh Condom aina ya RoughRider = 6000 Tsh Mwanamke unampa 20,000/ Tsh JUMLA 86000/= TSH [emoji23][emoji23][emoji23] Alafu Mamako home anaongea sabuni ya takasa ile ya kipande 200, na kitunguu anaomba kwa jirani hakika hakika nasema tena hakika mbingu utaisikia kwa Gwajima tu.
Hata hivyo alipaswa aendelee kuwepo ili akupe faraja.Msichana akikuacha kwakua huna pesa na akakurudia wakati unazo, sio kwamba anapenda pesa hapana hapendi wewe uwe huna pesa kitu ambacho hata wewe hukipendi pia, Sasa utamlaumu mtu kutopenda kitu ambacho wewe mwenyewe hukipendi
KWANINI MASKINI WANABAKI HIVYO Mtu mmoja aliwahi kusema, "ukichukua fedha zote ulimwenguni na ukizagawa sawa sawa kwa kila mmoja, baada ya mda hela zitawarudia wale walio kuwa nazo mara ya kwanza" Kwanini? Maskini ni watumiaji wakati matajiri ni wawekezaji. Nioneshe mtu maskini, nitakuonyesha mtu anae pishana na fursa mara kwa mara. Mtu anaeona changamoto ndani ya kila fursa badala ya kuona fursa ndani ya kila changamoto. Kuwa MWANAUME sio cheo, ni jukumu. Inamaanisha unapaswa kuwwajibika kiuchumi Asubuhi, Mchana na Usiku. Lazima uchuku maamuzi magumu ili upate matokeo makubwa. Unapaswa kupanga na kuweka mikakati, lazima uthamini faida na fedha kidogo unayoipata. Lazima uwe makini na mwenye nia kama unataka kufanikiwa
Watani zangu...! MPO Unakuta unatumia Ela bila hata huruma... Lodge= 20,000/ Tsh Nauli =10,000/ Tsh Chakula na vinjwaji =30,000/ Tsh Condom aina ya RoughRider = 6000 Tsh Mwanamke unampa 20,000/ Tsh JUMLA 86000/= TSH [emoji23][emoji23][emoji23] Alafu Mamako home anaongea sabuni ya takasa ile ya kipande 200, na kitunguu anaomba kwa jirani hakika hakika nasema tena hakika mbingu utaisikia kwa Gwajima tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poti banaUGUMU wangu umeongezeka mara dufu baada ya kuisoma hii kitu! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]