likes za ijumaaa
Iraq. Libya, Afghanistan...American democracy. Sasa naona wamekodolea macho mafuta bwerere ya Venezuela. Sad !!!
View attachment 1009947
karefu hako...
😀😀😀😀😀😀Watani zangu...! MPO Unakuta unatumia Ela bila hata huruma... Lodge= 20,000/ Tsh Nauli =10,000/ Tsh Chakula na vinjwaji =30,000/ Tsh Condom aina ya RoughRider = 6000 Tsh Mwanamke unampa 20,000/ Tsh JUMLA 86000/= TSH 😂😂😂 Alafu Mamako home anaongea sabuni ya takasa ile ya kipande 200, na kitunguu anaomba kwa jirani hakika hakika nasema tena hakika mbingu utaisikia kwa Gwajima tu.
jamani leo hatupati likes kama zooteUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
We wala siyo mfupi mbona?
Haha kama unanijua vile, au unanijua kwa I'd yako nyingine tehWe wala siyo mfupi mbona?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Khantwe bana. We ni mmoja wa maselebriti hapa JF. Utaachaje kujulikana?
[emoji23][emoji23][emoji23] kwenda zako selebriti niwe mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Khantwe bana. We ni mmoja wa maselebriti hapa JF. Utaachaje kujulikana?