Tayari watu wameanza [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1011666
Acha wajilie [emoji16][emoji16][emoji16]
Haha kuna mwingine kapigwa gori 8 leo kule CongoView attachment 1011711
Hii ni kweli? [emoji15]
Haha kuna mwingine kapigwa gori 8 leo kule Congo
Hahah watu tayali mshatabir ,,game bado broKwa hiyo ni kweli Simba kapigwa tisa?
Hahah watu tayali mshatabir ,,game bado bro
Nimeiona sehemu hiyo Bro, ndio maana nikauliza! Wanga wengi kumbe eeh? Washindwe na walegee, Simba daima mbele, nyuma mwiko! [emoji123]
Bro mambo yanaendeleaje? Waarabu wanaendelea kuhesabu magoli tu ama?Hamthaa [emoji23][emoji23][emoji23]